Skip to main content

Kampeni ya Nani Mtani Jembe yatikisa Ukonga Banana Dar es salaam, mashabiki wala raha kubwa mno!!

1Mtoa huduma katika Kampeni ya Nani Mtani Jembe (kushoto), akizungumza na Mteja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakati wa tamasha lililofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga.
2Wacheza shoo wa kundi la muziki wa Dansi la Extra Bongo wakitoa burudani katika Tamasha la Kampeni ya Nani Mtani Jembe lililofanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bonge la Kiburudisho kwa Watanzania.
3Mpiga gataa wa bendi  ya muziki wa dansi wa kundi la Extra Bongo (kushoto), akicheza na Shabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayoendesha Kampeni  ya  Nani Mtani Jembe ilifanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga 4Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo Ally Choki (kushoto) akicheza  muziki  pamoja na wacheza shoo wake wakati wa Tamasha la Nani Mtani Jembe lilifanyika Banana Dar es Saam leo tamasha hilo ni kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga na kudhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
5Mtoa huduma katika Kampeni ya Nani Mtani Jembe  Mwanahamis  Seleman (kulia), akiwahudumia wateja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakati wa tamasha lililofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo tamasha hilo ni kwaajili ya Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga.
6Mashabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakifurahiya Kampeni ya Nani Mtani Jembe wakati wa Tamasha lililofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuzaminiwa nabia hiyo.
7Wacheza shoo wa kundi la muziki wa Dansi la Extra Bongo Wanaume wakiomyesha vitu vyao  katika Tamasha la Kampeni ya Nani Mtani Jembe lililofanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Bonge la Kiburudisho kwa Watanzania.
8Wacheza shoo wa Bendi  ya Extra Bongo wakipuliza Vuvuzela katika Tmasha la Nani Mtani Jembe lililofanyika Banana Dar es Salaam leo kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga na kuzaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
9Mashabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakikabidhiana zawadi za jezi wakati wa Tamasha la Nani Mtani Jembe lilifanyika Banana Dar es Salaam leo na kuzaminiwa na bia hiyo kwaajili ya Mashabiki wa Simba naYanga
10 Mtoa huduma katika Kampeni ya Nani Mtani Jembe (kusoto) akimkabidhi zawadi ya jezi shabiki wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakati wa Kampeni aya Nani Mtani Jembe iliyofanyika Ukonga Banana Dar es Salaam leo kampeni hiyo ni kwaajili ya Mashabiki wa Simba na Yanga.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...