Skip to main content

KINANA AZUNGUMZA NA WANAFUZNI WA ELIMU YA JUU NJOMBE, ASHIRIKI UZINDUZI WA ALBAM YA “AMANI TANZANIA”

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanafuzni wa vyuo vikuu mkoani Njombe wakati alipowasili katika Chuo cha maendeleo ya jamii Njombe ambapo amekutana na wanafunzi mbalimbali wa elimu ya juu mkoani humo na kusikiliza kero zao mbalimbali Kinana amefanya ziara maalum ya kikazo katika koa wa Njombe baada ya kumaliza ziara yake ndefu ya mikoa ya Ruvuma kamati  na Mbeya Alhamisi iliyopita akiongozana na wajumbe wa kamati kuu ya CCM Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi, kinana pia alishiriki katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha sanaa cha Vicheko Sanaa Group cha Njombe uliofanyika mjini Njombe leo (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-NJOMBE)2Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akisalimiana na Mhadhili wa Chuo cha Amani Njombe wakati alipowasili katika mkutano na wanafunzi wa elimu ya juu mjini Njombe.3Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika mkutano huo.4Baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu wakiskiliza kwa makini wakati karibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza nao chuoni hapo.5Mmoja wa wanafunzi kutoka chuo cha uuguzi Njombe Omary Sadiki  akitoa kero mbalimbali zinazokabili chuo hicho wakati wa mkutano huo6Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi hao katika mkutano uliofanyika kwenye chuo cha maendeleo ya jamii Njombe.7Mkuu wa wilaya ya Njombe Sara Dumba akifafanua mambo mabalimbali yanayokwamisha maendeleo katika chuo cha uuguzi cha Njombe wakati akijibu maswali ya wanafuzi wa chuo hicho.8Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili katika uzinduzi wa albam ya kikundi cha Vicheko Sanaa Group Njombe iitwayo Amani Tanzania  uliofanyika mjini humo  leo.9Kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mjini Njombe kikitumbuizakatika uzinduzi huo uliofanyika mjini Njombe10Hiki ni miongozni mwa vikundi vya sanaa vilivyoshiriki katika uzinduzi huo.11Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi huo.12Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akizungumza katika uzinduzi huo13Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika uzinduzi huo15Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza wakati akizindua albam hiyo ya Amani Tanzania16Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi akishiriki kupiga ngoma katika uzinduzi huo wa albam ya Amani Tanzania  o17Kikundi cha ngoma za asili ya mkoa wa Njombe kikitumbuiza katika uzinduzi huo.14Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha albam ya Amani Tanzania iliyorekodiwa na kikundi cha Vicheko Sanaa Group cha mkoani Njombe leo katika uzinduzi uliofanyika mjini humo kushoto ni mwenyekiti wa umoja wa vijana mkoa wa Njombe Amani Fute.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...