MAMIA ya wakazi wa jiji la Mwanza wamejitokeza kumzika mwigizaji na
mchekeshaji nyota kutoka kundi la Futuhi Mzee Majuto Omari ‘ DUDE ‘
msanii huyo amefariki Leo SAA kumi na moja na kuzikwa leo hii huko
jijini Mwanza.
Ndugu na jamaa marafiki na wapenzi wa kundi la Futuhi walijitokeza kumzika msanii huyo nyota, ambaye alijizolea umaarufu kupitia kipindi cha vichekesho maarufu kama Futuhi kinachorusha vichekesho vyake kupitia kituo cha Televisheni cha Star tv cha jijini Mwanza, FC tunatoa Pole kwa wafiwa wote. MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI ‘ AMEN.
CREDIT : SWAHILI HOOD

Comments
Post a Comment