Skip to main content

HIZI NDIZO SABABU ZILIZOMFANYA JOYCE KIRIA AIKACHIFU ELIMU YA PHD!

 





Nikienda shule ntachizika!!!! Acha nibaki na hizi zinazonisaidia kukataa Usaliti ambao ni Ukatili mkubwa sana wa kijinsia... na wanaume ndiyo wanaoongoza kusaliti Ndoa zao tena Wasomi wa taifa hili (japo siyo wanaume wote.)

Kama elimu hii ya std7 inanisaidia kuupiga vita Usalitikwa nguvu na akili zangu zote..huku wasomi wenye nondo zao wakipinga vikali na kutaka kunitoa roho kwa sababu tu ya kuvunja kwangu ukimya, Ni bora std7 yangu walahi....

Phd ya kukumbatia Maovu SIITAJI. Phd ya kutetea Uzinzi/Umalaya/Wizi! SIITAKI

Phd ya kutomsifia Mume wangu baba watoto wangu bila Eti kwa sababu anaweza kuja kugeuka! SIITAKI...

2014 siitaji umaarufu Mavi, wa kufa na tai shingoni. Najua ni ngumu sana msimamo wangu kuwaingia watu, lakini ntakomaa mpaka mwisho.

Wanawake wengi sana tunaumia kwa sababu za Usaliti unaoitwa ni "Utamaduni wa Kiafrika Wanaume kusaliti Ndoa zao!!"

Itatuitaji wanawake kubadili hii mitazamo kandamizi kwa kuchukua hatua ya kuachana na wasanaliti ili wajifunze kutuheshimu. Na kuwachana live bila kuogopa..

NIPO TAYARI KULIPA GHARAMA! MAOVU YAMEZIDI NIMEAMUA" KUSIMAMA Ili niwaponye Wanawake wenzangu...

Note: OPERESHENI TOKOMEZA MICHANGO YA HARUSI NA SHEREHE! KAMA VIPI WAPENI HIZO PESA WAKAANZIE MAISHA KULIKO KUZINYWA NDANI YA MASAA...

2014 SICHEKI NA NYANI...MIE NDO MWANAMABADILIKO JOYCE KIRIA, UTASOMA HATA KAMA UMEFUMBA MACHO...

CHANZO: Page ya facebook ya Joyce Kiria

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog