Skip to main content

TUNAOMBA RADHI KWA HIZI PICHA: HAWA NDIO MAJAMBAZI WATATU WALIOUAWA NA KUCHOMWA HUKO MOROGORO

 













WANANCHI wenye hasira wa Kijiji cha Kisiwa Kata ya Kiloka Wilaya ya Morogoro Vijini jana usiku wamewauwa kisha kuwachoma moto watu watu  wanaosadikiwa kuwa majambazi. Akizungumza na Mtandao huu shuhuda wa tukio hilo Bw Shabani Mango alisema majambazi hao walivunja nyumba ya mkazi mmoja wa kijijini hicho na kuiba shilingi  490,000. "Jamaa walifka hapa majira ya saa 8 usiku wakiwa na pikipiki Feko yenye namba za usajiri T310 BTC wakipakizana mshikaki,walivunga geni na kuingia ndani ambapo walipora kiasi hicho cha fedha "alisema Mango na kuongeza" Fedha hizo Mwalimu Said Swale Tajiri alizikopa jana mchana kwenye saccos ya Moboto kwa lengo la kumlipia ada mdogo wake anayesoma jijini Dar es salaam leo ijumaa alipanga kwenda Dar kulipa ada nahisi jamaa walipata taarifa kwamba Ticha ana mzigo ndani"alisema Bw Mango.
 Akihojiwa na mtndao huu afisa mmoja wa jeshi la polisi alithibitissha kutokea kwa tukio hilo na kuwataja majambazi hao kuwa ni Emmanuel Mlapoli na Kessy Benno ambaye ni boda boda naye pack Pangawe jeshini. ''Jambazi mmoja jina lake bado halijafahamika na kwamba eneo la tukio tulikuta pikipiki aina ya Feko yenye namba za usajiri T 3710 BTC mali ya marehemu Kessy Benno ambaye ni makzi wa Kingulwila stesheni manispaa ya Morogoro'alisema Afande huyo aliyeomba hifadhi ya jina lake kwakuwa sio msemaji wa jeshi hilo.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below: