Raisi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha(AJTC) akitangaza kujiuzulu nafasi ya uraisi |
Raisi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji bwana George Silange aliyechaguliwa kwa ushindi mkubwa na wanafunzi wa chuo hicho katika uchaguzi uliofanyika baada aliyekuwa raisi wawakati huo bwana Daved George kusimamishwa pamoja na uongozi wake wotee!
Na alipewa dhamana ya kuendeleza kijiti hicho ni George Silange ila naye ameamua kujiuzulu na kuiachia kijiti hicho.Ila baada ya kujiuzulu tu aliandika ujumbe huu katika akaunt yake ya faceebook:
NAWAPENDA WOTE MLIONIPA USHIRIKIANO WA KUTOSHA NIKIWA MADARAKANI NATANGAZA RASMI KUANZIA SASA NIMEJIUZULU NAFASI YA URAIS NDANI YA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA
PIA NAWAPONGEZA WALE MASNECH NA WANAFIKI MLIOKUWA NDANI YA UONGOZI WANGU
NA MWISHO NIKUSHANGAE WEWE UNAEDAI WANACHUO WAWE NA NIDHAMU WAKATI WEWE HUONYESHI MFANO SIJAWAHI KUMTUKANA MKUFUNZ WALA MWANA CHUO MWENZANGU ALAFU WEWE UNANIITA KICHWA CHA NDIZI?? NA UNADAI UNANIDHAMU ETI HAUKOSEI KISA WW NI M2 FULANI HAHAHAHAHAHAAAA AHSANTENI JAMANI.
SOURCE: akunti ya George Silange
Comments
Post a Comment