Skip to main content

MAMA SHARO MILIONEA ALIA NA KAZI ZA MWANAE…

Ikiwa ni tariban mwaka mmoja na miezi kadhaa imepita tangu SHaro Milionea afariki dunia kwa ajali ya gari huko Muheza mkoani Tanga tayari imeshaonekana watu kumsahau na kuendelea kula kupitia jina lake na sura yake.
Kupitia 255 ya XXL ndani ya Clouds FM inayoruka kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 7 hadi saa 10 jioni Mama Sharo alikuwa na haya ya kueleza;
“Hata mimi naziona tu hizo kazi zenye sura ya mwnangu ndani yake na hata mara kadhaa kuulizwa na baadhi ya marafiki zake wa karibu kuwa napokea chochote juu ya muvi fulani iliyotoka au sipokei. mara zote nawajibu kuwa sipokei kitu kwa sababu ukweli upo hivyo kuwa sishirikishwi kwa chochote kwenye kazi zinazoendelea kutoka tangu mwanangu afariki dunia.” – Mama Sharo.
Baabkubwa inaungana na Mama Sharo katika kukemea watu wa aina hii ambao wanapenda kula kupitia migongo ya wenzao.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below: