Skip to main content

MUME NA MKE WANUSURIKA KUFA KWA KUUNGUA MOTO,TAZAMA PICHA ZINASIKITISHA

 



Majeruhi bi Happiness Chacha (22) akiwa amelazwa katika wodi namba 8 katika hospitali ya wilaya ya Geita baada ya kuungua moto yeye na mme wake -Picha zote na Valence Robert Majeruhi Chacha Wambura (35)akiwa amelazwa katika wodi namba 7 katika wilaya ya Geita baada ya kuungua moto katika kijiji cha Lwamgasa wilayani Geita mkoani Geita. Wanandoa wawili wakazi wa kijiji cha Lwamgasa wilayani Geita mkoani Geita Happiness Chacha(22) na mme wake Chacha wambura(35) wamenusurika kufa baada ya nyumba yao kuungua moto katika kibanda chao cha bar. Tukio hilo limetokea jana usiku saa nane usiku katika kijiji cha Lwamgasa ambapo kufuatia tukio hilo majeruhi wakikimbizwa katika hospitali ya wilaya ya Geita mkoani Geita walipolazwa wodi namba 7 na 8. Robina Isack anayewauguza amesema kuwa usiku huo wa saa 8 waliona moto unawaka bila kujua umeanzia wapi huku wakishangaa kwa vile hawatumii nishati hiyo ya umeme na wala hapakuwa na moto waliokuwa wamewasha ndani. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Joseph Konyo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...