Skip to main content

HII NDIO TAARIFA KAMILI JUU YA JOKA LA AJABU LILILOKUWA LIKIFUGWA NA MTU ANAYESADIKIWA NI MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA

JOKA KUBWA LAUWAWA ARUSHA
Na Victor Amath
Joka kubwa aina ya Chatu ameuawa jana na Wananchi wenye hasira kali mtaa wa
Azimio kata ya Kiranyi jijini  Arusha baada ya kuonekana nyumbani kwa mtu
anayefahamika kwa jina  la Joseph Magesa .
Aidha tukio hilo la kusimimua la la aina yake lilitokea jana majira ya saa
4 asubuhi ambapo inaelezwa kuwa joka huyo alipasua kioo cha nyumba na
kutoka nje hali iliyompelekea mototo wa Magesa kuimbia nyumba hiyo pamoja
na mlinzi.
Baada ya Wananchi kupata taarifa za kuonekana kwa joka hilo nyumbani kwa
magesa  walifika nyumbani hapo na kumkuta nyoka huyo mkubwa akiwa
anataambaa kuelekea nje ya geti ndipo alipojitokeza kijana mmoja ambaye
jina lake halikufahamika mara moja na kumvuta nyoka huyo kwa kutumia
vitambaa alivyokuwa amefungiwa kwenye mkia.
George Enock ni mkazi wa eneo hilo ameeleza kuwa baada ya nyoka huyo
kukamatwa alitembezwa mtaani mpaka majira ya saa 7 mchana ambapo alikatwa
katwa na mapanga vipande baada ya hapo akateketezwa kwa moto.
Mkazi huyo anaeleza kuwa nyoka huyo alikuwa  na ukumbwa zaidi ya futi 4
alifikishwa nye ya Kanisa la Katoliki la St.Monica ambapo kila mwananchi
kwa imani yake alifanya sala ,maombi na dua huku wengi wao wakimuhusisha
nyoka huyo na imani za kishirikina.
“Wako ambao walichukua vipande kadhaa vya nyoka huyo na kuondoka navyo
pengine ni katika hali ya kuhakikisha kuwa joka huyo harejei tena kwa
kuhofia kuwa angeweza kuhatarisha maisha ya watu” Alisema George
Emanuel Sadick mkazi wa eneo hilo alisema kuwa nyoka huyo alikuwa amefungwa
vitambaa vitatu vya rangi nyeusi,nyeupe na nyekundu ambavyo vilikua na
maandishi ambayo yalidaiwa kuwa ni ya lugha ya kiharabu .
Huenda nyoka huyo akawa anatumika kwenye mambo ya kishirikina mathalani
kumletea utajiri huyu bwana huwezi kujua tumehatarisha mtaji wa mtu.
Imeelezwa kuwa baada ya kukamatwa kwa nyoka huyo mwenyenyumba Magesa
alipigiwa Simu na kuelezwa juu ya nyoka huyo na kuwataka wasimwue lakini
hilo lakikuzuia hasira za wananchi ambao waliamua kumkata kata vipande na
kumteketeza.
Naye Kiongozi  mmoja wa Kanisa Katoliki la St.Monica lililoko jirani na
Magesa  ,kiongozi huyo ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini amesema
kuwa mtu huyo hana tabia ya kushiriki katika masuala ya kiroho  (kanisa)
Viongozi wa kanisa waliwahi kumtembelea ili kumuomba awe anashiriki lakini
jambo hilo halikufanikiwa.
“Watoto wake pekee ndio huwa wanafika kanisana na wakati mwingine huja
kucheza na wenzao hapa kanisani lakini Magesa hajawahi kufika kabisa hapa
kanisani licha ya kuwa ni Mkristu” Alisema kiongozi huyo
Kwa upande wake Mchungaji Samweli Bonke wa kanisa la Wonders of Christ
lilopo Sakina jijini hapa amedai kuwa mmliki wa nyoka huyo aliwahi kuishi
mkoa wa Kigoma katika nyumba ya kupanga baada ya kuhama nyoka huyo
aligundulika kubaki kwenye hicho chumba lakini baadae alirudi na kumchukua.
Mchungaji huyo alisema kuwa Nyoka huyo ambaye aligundulika mwishoni mwa
mwaka jana akiwa Kigoma na kujulikana kwa jina la Mtoto,baada ya Mwenye
nyoka kuhamia Arusha ambapo walipata taarifa na kufanya maombi na kufunga
na kufanya maombi kwa muda wa siku 7 .
“Nikiwa Kigoma alikuja mtu mmoja na kuniomba nikaifanyie nyumba yake maombi
baada ya kumuona nyoka huyo ambaye baadae aliondoshwa tukaomba ,leo
nashangaa kusikia ameuawa sisi tunaweza kusema maombi yetu yamejibiwa”
Alisema Mchungaji huyo
Naomi Molel ambaye ni shuhuda wa tukio hilo alisema kuwa nyoka huyo alikua
mkubwa kiasi cha kutisha na kuwashangaza wakazi wa eneo hilo ambao walibaki
midomo wazi baada ya kumuona nyoka huyo.
Wakizungumza kwa Nyakati tofauti Amina Rajab na Fatuma Hussein wameeleza
kuwa tukio hilo limewashtua wengi na kuzua gumzo  katika eneo hilo .
Nyoka huyo anadaiwa kuwa na uwezo wa kummeza mtoto mdogo na iwapo
angeendelea kuwepo pengine angehatarisha maisha ya wengi.
John Ibrahimu ,ambaye alishiriki katika kumtoa nyoka huyo nyumbani  kwa
Magesa hadi kumteketeza alifafanua kuwa nyoka huyo alivunja kioo cha nyumba
na kutoka nje ambapo kupata taarifa walifika na kijana mmoja ambaye
walichukua kwa kumburuta  hadi nje ya kanisa .
Mlinzi wa nyumba alikimbia pamoja na mtoto wa Magesa ,hata hivyo nyoka huyo
alikua hana madhara maana tuliweza kumbeba  na hakutudhuru ,kama
nilivyotangulia kusema nyoka huyo anahusishwa na imani za kishirikina.
Wako wanaoamini kuwa kuna nyoka mwingine aliyesalia baada ya huyo mmoja
kuuawa ambaye wanamwita mtoto,suala hilo bado linazua hofu miongoni mwa
wananchi.
Ziko tetesi za Mwenye nyumba Magesa kuwachukulia hatua wale wote ambao
wamehusika katika kumkamata nyoka huyo na kumwua ,madai ambayo bado
hawajathibitishwa kwani alipotafutwa Magesa aongelee suala hilo hakuwepo
nyumbani kwake inadaiwa yuko jijini Dar es Slaam
Nyoka aliyekamatwa akiwa amekatwa katwa kabla ya kuteketezwa kwa moto.Picha
na Ferdinand Shayo
Nyoka akitembezwa baada ya kukamatwa katika kata ya Kiranyi jijini  Arusha
na kuuawa.Picha na Ferdinand Shayo
nyoka akiuawa na wananchi baada ya kukatwakatwa
Nyumba ya mtu anayedaiwa kuwa ndiye aliyekuwa akimfuga nyoka huyo

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu