BRAZIL nzima jana ilizizima baada ya nyota wake kupata majeruhi
ya kifundo cha mguu katika mazoezi na hofu kubwa kundanda juu ya
ushiriki wake katika fainali za kombe la dunia.
Nyota huyo wa Barcelona
aliteguka kifundo cha mguu wakati Selecao wakifanya mazoezi nje ya Rio
Janeiro na kumlazimu kupata matibabu ndani ya uwanja.
Hata hivyo baada kukaa chini kwa
dakika kadhaa, nyota huyo tegemeo kwa kombe la dunia aliweza kusimama
mwenyewe na kutembea bila tatizo lolote.
Comments
Post a Comment