Skip to main content

Rais Jakaya Kikwete azindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Sensa

IMG_5463Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo. IMG_5509Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo. IMG_5515Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake  kabla ya kuzindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo. IMG_5519 IMG_5536 Rais Jakaya Kikwete(wa tatu kulia) akizindua Chapisho la Tatu la taarifa za msingi za Kidemografia,Kijamii na Kiuchumi linalotokana na Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 na Matumizi ya tovuti katika kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo.Wengine kwa kwanza kulia ni Kamishna wa Sensa Hajjat Amina  Mrisho   Saidi, wa pili Waziri wa Fedha Saada Salum Mkuya na kushoto wa kwanza ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seid Ali Iddi wa   pili ni Mwakilishi wa UNFPA Mariam Khan na watatu ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda. IMG_5541Rais Jakaya Kikwete akizindua  tovuti kwa ajili ya  kupata  taarifa mbalimbali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu J.K.Nyerere jijini Dares Saalam leo.Picha zote na Magreth Kinabo na Maelezo

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...