Joel Msechu mtaalamu wa zao la
shayiri kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akiwaonesha wakulima
magonjwa wa shayiri na namna ya kuzuia magonjwa hayo katika katika
mashamba yaliyopo Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha.
Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika
uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia
zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk.
Bennie Basson akiwaonesha wakulima kijitabu cha muongozo wa kilimo cha
shayiri katika Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha juzi.
Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika
uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia
zinzozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Shayiri wa Kampuni ya
Bia Tanzania (TBL) D.. Bennie Basson akizungumza na wakulima wa shayiri
ktk kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao
huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao
hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni
hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk.
Bennie Basson akiwaonesha wakulima wa shayiri chati ya matumizi ya
mbolea na viuatilifu vinavyoweza kuongeza mavuno ya shayiri katika
Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha. Wakulima hao huwezeshwa
na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni
malighafi ya kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Meneja wa Zao la Shayiri Dk.
Bennie Basson, akiwaonesha magugu ambayo ni hatari kwa zao la shayiri
alipowatembelea wakulima wa zao hilo Kijiji cha Emairete Monduli juu,
mkoani Arusha juzi. Wakulima hao huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) katika uzalishaji wa zao hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea
bia zinazozalishwa na kampuni hiyo.
Mtafiti wa zao la shayiri Geremia
Mremi kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) akitoa elimu juu ya mbegu
bora zilizothibitishwa kutoka TBL alipowatembelea wakulima wa zao hilo
katika Kijiji cha Emairete Monduli juu, mkoani Arusha juzi. Wakulima hao
huwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika uzalishaji wa zao
hilo ambalo ni malighafi ya kutengenezea bia zinazozalishwa na kampuni
hiyo
Comments
Post a Comment