“Ni wakati mbaya zaidi kuwahi
kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha
yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo
haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza
kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa
mimi.
Comments
Post a Comment