Skip to main content

Hizi ndizo sababu zilizomfanya Ray asiende kimzika Baba yake Johari

Tweet 0
MKURUGENZI wa RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’
ameshindwa kumzika baba mdogo wa mkurugenzi
mwenza wa kampuni hiyo, Blandina Chagula,
Clement Kiyenze Chagula.
Mzee huyo alifariki katika Hospitali ya Muhimbili
kutokana na matatizo ya presha na figo yaliyokuwa
yakimsumbua na kuzikwa katika Makaburi ya
Kinondoni jijini Dar ambapo wasanii mbalimbali wa
filamu nchini walishiriki akiwemo Mbunge wa
Chalinze, Ridhiwani Kikwete.
Alipoulizwa Ray kwa nini hakuhudhuria mazishi
hayo, alisema:
“Ukweli ni kwamba mimi sipo Dar. Ndiyo maana
sijaonekana huko kwenye mazishi, nipo Mwanza
katika shughuli zangu za kikazi, tuko pamoja lakini,”
alisema Ray ingawa wachungzi wa mambo
wanasema kuwa alikuwepo mjini ila ni kutokana na
sababu binafsi zao kati yake na Johari ndo maana
hakutaka kwenda huku chuchu hans akidaiwa
kuhusika.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...