Skip to main content

MBASHA AKANA KUMBAKA SHEMEJI YAKE!!


KESI ya ubakaji inayomkabili mume wa Mwimbaji
Flora Mbasha ambae ni mwimbaji maarufu wa
nyimbo za injili Tanzania Emmanuel Mbasha (32),
ilitajwa tena July 23 2014 katika mahakama ya
wilaya ya Ilala ambapo Mbasha amesomewa tena
mashataka yake huku akikubali sentensi mbili tu
kati ya nne zilizosomwa.Akisoma hoja hizo mbele
ya hakimu Wilbert Luago, mwendesha mashtaka
wa serikali Nasoro Katunga alisema May 23 2014
mtuhumiwa alimbaka binti aitwaye  Yerusalemu
Boazi (17) ambae ni mdogo wa Flora na
kumlazimisha asimwambie mtu yoyote ambapo
wakati akitenda kosa hilo
mkewe Flora hakuwepo nyumbani.Katunga
aliendelea kufafanua kuwa May 25 2014 Mbasha
alirudia tena kitendo cha ubakaji baada ya
kumuomba binti huyo amsindikize kumtafuta mke
wake ambae hakuwepo nyumbani ambapo
walipofika Tabata peke yao, Mbasha alimbaka tena
binti.Hizo sentensi zote mbili za juu Mbasha
amezikana Mahakamani kwa kusema sio
kweli.Hata hivyo iliendelea kuelezwa kwamba
tukio hilo la ubakaji liliripotiwa katika kituo cha
polisi Tabata ambako Boazi alipewa PF3 kwa ajili
ya kupata matibabu ambapo uchunguzi uliofanywa
ulionyesha ni kweli binti huyo aliingiliwa kimwili.
Katika kesi hiyo ambayo Mbasha anatetewa na
wakili Mathew Kakamba, Mbasha alikubali sentensi
mbili na kuzikataa mbili zilizobaki kwamba
alimbaka binti huyo.
Alichokubali ni kusema ni kweli alimuomba binti
huyo amsindikize kumtafuta mke wake ambaye
hakuwepo nyumbani na pia alikubali ni kweli Mei
23 2014 mke wake Flora Mbasha hakuwepo
nyumbani.
Baada ya kusomewa mashataka hayo na
mwendesha mashataka wa serikali, Jaji Luago
aliahirisha kesi hiyo hadi August 22 2014 baada ya
wakili anayemtetea Mbasha kudai atakuwa na
safari kwa siku za karibuni nje ya Mkoa.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...