
Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi na aliyesimamia zoezi hilo, Amin Bakhresa, wakati akitangaza matokeo hayo alisema kuwa mshindi wa nafasi ya Makamu wa Rais ni Geofrey Nyange ‘Kaburu’ aliyepata kura 1,046 na kuwashinda Jamhuri Kihwelu ‘Julio’ (412), Swedy Mkwabi (373) na Bundala Kabula kura 25
Comments
Post a Comment