Afisa
Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia
maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF
wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya Mwl Nyerere
maarufu kama Sabasaba.
Mkazi
wa Jiji la Dar Es Salaam akipatiwa maelezo juu ya huduma ya Fao la
Kujitoa kutoka kwa afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi
Grace Balele wakati mteja huyo alipotembelea banda la Mfuko wa Pensheni
wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja
vya Sabasaba.
Mchambuzi
wa Mfumo wa Teknolojia (System Analysist) kutoka Mfuko wa Pensheni wa
PPF Makao Makuu, Bi Irene Togolai akimpatia fomu ya Kujiunga na Mfuko wa
Pensheni wa PPF mmoja wa Wakazi wa Jiji la Dar aliyetembelea Banda la
PPF katika Maonyesho ya 38 ya Kibiashara ya Kimataifa yanayoendelea
kufanyika katika Viwanja vya Sabasaba
Mchambuzi
wa Mfumo wa Teknolojia (System Analysist) kutoka Mfuko wa Pensheni wa
PPF Makao Makuu, Bi Irene Togolai akijibu maswali ya wateja wa PPF
waliofika katika banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara za
Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl Nyerere Barabara ya
Kilwa, Jijini Dar Es Salaam.
Happiness
Mmbando , Afisa Rasilimali watu Utawala na Ushauri kutoka Mfuko wa
Pensheni wa PPF akiwasikiliza kwa makini baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar
waliotembelea Banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara za
Kimataifa.
Baadhi
ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam wakiuliza maswali kuhusiana na mfuko
wa Pensheni wa PPF wakati walipotembelea katika banda la PPF katika
Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja
vya Sabasaba jijini Dar Es Salaam, Kulia ni Afisa Huduma kwa Wateja
Kutoka Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Temeke, Bi Jacquline Jackson
Comments
Post a Comment