Skip to main content

Hatimaye Diomond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema unajua ni kwa nini stori kamali soma hapa!!

Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka
hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani
kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano.
Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha
kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani
amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.
“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu
kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba
sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata
ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,”
alisema Diamond.
Pia amesisitiza kwamba ndoa si jambo la masihara
kwani ni tendo la kiimani na ndio maana amekuwa
makini katika mipango yake.
“Nataka kila kitu kishuhudiwe na mashabiki,
ninaweza hata kuifanyia Uwanja wa Taifa,”
aliongeza.
“Unajua nilishindwa kufanya mambo haya haraka
kwa sababu wengi nadhani wangeamini kwamba
ninafanya hivyo ili kutafuta umaarufu zaidi, tunataka
tufanye kiusahihi yasije tokea mambo kama ya
Instagram tunataka tuje kuwa mfano wa kuigwa.”
Alipoulizwa tarehe ya ndoa hiyo Diamond alisema:
“Nilishasema ni hivi karibuni, unajua siku zote vitu
vya kheri waswahili wanasema lazima uvifiche,
hata Mwenyezi Mungu naye anasema anampenda
mtu aliye na siri, lazima vitu vingine uvifiche ili
vipate kufanikiwa. Wakati mwingine kunakuwa na
husda, hasidi kwa hiyo ukiviweka wazi sana
vinaweza kutofanikiwa.”
Taarifa kwamba Diamond hataoa zilisambaa na
kudaiwa kumchefua mchumba wake Wema Sepetu
ambapo katika mahojiano mkali huyo wa wimbo
‘Mdogo Mdogo’ alisema: “Kwanza sikuwahi kusema
siwezi kuoa, nilishtushwa na gazeti hilo, nilisikitika
kwa kweli na iliniuma sana, lakini nikaona nikijibu
nitaonekana kwamba sina adabu, kwa sababu siku
zote anayeanza huwa haonekani lakini
anayemaliza. Pia siwezi kubishana na vyombo vya
habari, mwisho wa siku ni watu haohao
nitawategemea wanifanyie kazi zangu,” alisema.
Hata hivyo Diamond alisema mchumba wake
anaumizwa na vichwa vya habari ambavyo
vimekuwa mwiba kwake.
“Hata hivyo magazeti yetu tumeshayazoea jinsi
yanavyoandika, wakati mwingine inakuwa kama
chachandu au kufurahisha baraza,” aliongeza.
Kuhusu taarifa kwamba ameachana na mchumba
wake huyo, alisema: “Hatuna tatizo watu wengi
wanasema tumeachana, lakini hatujaachana na
hatuwezi kujibishana.
“Sijui nikujibu nini kwa sababu kila nitakachokujibu
utaona namsifia kwa sababu yule ni mchumba
wangu.
“Lakini ninachoweza kukwambia ni kuwa sisi ndio
tunaoujua ukweli wa uhusiano wetu.
“Sidhani kama ni sahihi mapenzi yetu yakawa na
wasemaji wengine zaidi yetu wenyewe. Sasa ni
ajabu watu wanaposema yao.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...