Skip to main content

Nitakuwa Rais wa mwisho kuongoza TZ masikini - JK

Rais Kikwete amesema kuwa anataka na
anatamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania
kuongoza nchi ambayo ni maskini na hivyo
atatumia muda wake uliobakia katika uongozi
kuelekeza nchi kwenye mwelekeo huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema
kuwa anataka na anatamani kuwa Rais wa
mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni
maskini na hivyo atatumia muda wake uliobakia
katika uongozi kuelekeza nchi kwenye
mwelekeo huo.
Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa jambo la
msingi kabisa la kama Watanzania watanufaika
na ugunduzi wa gesi asili ama watabakia katika
hali yao ya sasa ya umasikini ni aina ya uongozi
ambao nchi hiyo itaupata, uongozi wenye
uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa kadri
nchi inavyozidi kusonga mbele.
Rais Kikwete pia anasema kuwa Tanzania
inatarajia kuanza kupokea mapato yake ya
kwanza kutokana na raslimali ya gesi asilia
katika miaka sita ijayo, kuanzia Mwaka 2020.
Rais Kikwete ameyasema hayo jana, Jumatatu,
Agosti 4, 2014, wakati alipozungumza kwenye
Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo (Centre for
Global Development) mjini Washington,D.C.,
Marekani, ambako alizungumzia Hali ya
Baadaye ya Tanzania kufuatia Ugunduzi wa Gesi
– Future of Tanzania following the Discoveries
of Gas.
Rais Kikwete yuko nchini Marekani kwa ziara
rasmi ya siku tisa ambako miongoni mwa
mambo mengine atahudhuria Mkutano wa
Kwanza wa Viongozi wa Marekani na Afrika
ulioitishwa na Rais Barack Obama wa Marekani
na unaoanza leo, Jumanne, Agosti 5, 2014.
Rais Kikwete ameuambia mkutano kwenye
Kituo hicho kuwa anataka kufanya kila
linalowezekana katika kipindi chake
kilichobakia cha uongozi kuhakikisha kuwa
anaanzisha na kuanza kujenga taasisi na kuweka
kanuni sahihi za kuweza kusimamia raslimali ya
gesi asilia .
“Nitafanya kila linalowezekana kuhakikisha
kuwa Watanzania na nchi yao wananufaika
kutokana na mapato ya raslimali kutokana na
gesi asilia. Nataka na natamani kuwa Rais wa
mwisho wa Tanzania kuongoza nchi masikini.
Raslimali ya gesi inatoa nafasi na fursa kubwa
kwa nchi yetu kuondokana na umasikini. Mimi
nimeongoza nchi masikini, lakini nataka mrithi
wangu kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri,”
amesema Rais Kikwete na kuongeza:
“Hivyo, dhamira na shughuli yangu kubwa kati
ya sasa na mwisho wa kipindi changu cha
uongozi ni kuiongoza nchi yetu kuelekea
kwenye njia hiyo ambako gesi italeta ustawi na
utajiri na maisha bora zaidi kwa wananchi
wetu.”
Hata hivyo, Rais Kikwete amesema kuwa ili
Watanzania wanufaike na mapato ya gesi ni
muhimu kuwepo na uongozi imara ambao
utakuwa tayari kuchukua maamuzi sahihi kwa
kadri nchi inavyosonga mbele. “Jambo la kutia
moyo ni kwamba Tanzania ni demokrasia, na
ushiriki wa umma kutaja kujua nini kinaendelea
uko juu sana.”
Tanzania imekuwa inatafuta gesi na mafuta
tokea miaka ya 1950 na ugunduzi wa kwanza
ulikuwa Mwaka 1974 katika Kisiwa cha Songo
Songo kilichoko Mkoa wa Lindi na Mnazi Bay
katika Mkoa wa Mtwara mwaka 1982.
Hata hivyo, ilikuwa kuanzia Mwaka 2010 wakati
ugunduzi mkubwa wa gesi ulipofanyika kwenye
eneo la bahari, ugunduzi ambao mpaka sasa
umefikia futi za ujazo trilioni 50.5.

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog