Skip to main content

Ugonjwa wa Ebola yaingia afrika mashariki kwa habari zaidi soma hapaa!!!

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo
imesema watu wawili wamekufa kutokana na
ugonjwa wa Ebola, uliolipuka kaskazini-magharibi
mwa nchi hiyo.
Hao ni wagonjwa wa kwanza wa Ebola kuripotiwa
nje ya Afrika Magharibi tangu kuzuka kwa ugonjwa
huo huko, ingawaje haijaeleweka wazi kama vifo
vya watu hao vinahusiana na mlipuko wa Ebola
katika nchi za Afrika Magharibi.
Mpaka sasa watu 1,427 wamekufa kutokana na
maambukizo ya virusi vya Ebola.
Shirika la Afya Duniani, WHO limesema kasi na
kiwango cha milipuko hiyo hakijawahi kutokea hapo
kabla.
Watu wanaokadiriwa kufikia 2,615 Afrika Magharibi
wameambukizwa ugonjwa wa Ebola tangu uzuke
mwezi Machi mwaka huu.
Kirusi cha Ebola
Hakuna tiba inayojulikana kutibu ugonjwa huu lakini
baadhi ya watu walioambukizwa virusi vya Ebola
wamepata nafuu baada ya kupewa dawa ya Zmapp
iliyo katika majaribio. Hata hivyo dawa hiyo
imeadimika kwa sasa.
Pia Jumapili, mfanyakazi wa afya wa Uingereza
aliambukizwa ugonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone
na kurejeshwa Uingereza akisafirishwa na ndege ya
jeshi la Uingereza, RAF. Ni mgonjwa wa kwanza
Mwingereza kuthibitishwa kuambukizwa virusi vya
Ebola wakati wa mlipuko wa sasa wa ugonjwa huo.
Marekani imetuma vifaa vya tiba kusaidia
kupambana na mlipuko wa Ebola nchini Liberia.
Watu kadha wamekufa katika kipindi cha mwezi
uliopita baada ya kuugua homa isiyojulikana katika
jimbo la Equateur katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya
Congo.
Jumapili, Waziri wa Afya wa DR Congo Felix
Kabange Numbi amesema watu wawili kati ya
wanane waliopimwa ugonjwa Ebola wamethibitika
kuambukizwa ugonjwa huo.
Ameiambia BBC kuwa eneo la karantini litawekwa
katika eneo la kipenyo cha kilomita za mraba 100
katika eneo la Boende ambao wagonjwa
wamegundulika.
Amesema huu ni mlipuko wa saba wa ugonjwa wa
Ebola nchini DR Congo.
Virusi vya ugonjwa wa Ebola kwa mara ya kwanza
viligundulika nchini humo mwaka 1976 karibu na
Mto Ebola.
Bwana Numbi amesema vipimo zaidi vinafanyika.
Kituo cha wagonjwa wa Ebola nchini Sierra Leone
moja ya nchi zilizoathirika kwa ugonjwa huo Afrika
Magharibi
Jumamosi, bunge la Sierra Leone lilipitisha sheria
mpya kuwa ni kosa la jinai kuwaficha wagonjwa wa
Ebola.
Tayari watu zaidi wamekufa katika mlipuko huu wa
Ebola kuliko milipuko mingine iliyowahi kutokea.
Kama sheria hiyo itaidhinishwa na rais, wale
wanaokamatwa kwa kuwaficha wagonjwa
watakabiliwa na adhabu ya kifungo jela cha kufikia
miaka miwili.
Hatua hii imekuja baada ya Ivory Coast kufunga
mipaka yake ya nchi ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa
wa Ebola nchini humo.
Nchi hiyo tayari imepiga marufuku safari za ndege
kwenda na kutoka Sierra Leone, Liberia na Guinea.
Gabon, Senegal, Cameroon na Afrika Kusini
zimechukua hatua kama hizo.
Shirika la Afya Duniani linasema upigaji marufuku
safari za ndege hakusaidii, na kinachotakiwa ni
madaktari zaidi na maafisa kusaidia kuwafuatilia
walioambukizwa Ebola, ikiwa ni pamoja na kuwa na
maabara zaidi za kuhama.
Wiki iliyopita, madaktari wawili wa Marekani
waliruhusiwa kutoka hospitalini nchini Liberia baada
ya kupewa dawa ya ZMapp drug, wakati ambapo
madaktari watatu wa Liberia pia wanaendelea
vema.
Ugonjwa wa Ebola unaenezwa kati ya binadamu
kwa kugusana moja kwa moja na majimaji ya mtu
aliyeambukizwa ugonjwa huo. Ni moja kati ya
magonjwa hatari kuliko yote duniani, ambapo
asilimia 90 ya watu wanaoambukizwa ugonjwa wa
Ebola hufariki dunia.

Comments

Popular posts from this blog

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog