Skip to main content

Wazazi wamtelekeza mtoto mgonjwa wa akili


Mama wa kupangisha bi Chanbhua akiwa na
mwanawe (Gammy)
Familia moja kutoka Australia imekanusha
kumtelekeza mtoto waliomlipa mama mmoja nchini
Thailand kuwabebea kufuatia ripoti za daktari kuwa
alikuwa na upungufu wa kiakili.
Pattharamon Chanbua, 21, aliingia mkataba wa
kuwasaidia Waaustralia hao kupata mtoto baada ya
mwanamke huyo kushindwa kubeba mimba
mwenyewe.
Hata hivyo alipojaaliwa akazaa mapacha wazazi
hao walikuja wakamchukua mmoja ambaye akili
zake zilikuwa timamu na wakamuacha nyuma
mtoto Gammy baada ya ripoti ya daktari kuonesha
kuwa alikuwa na akili taahira.
Chanmbua anasema kuwa punde baada ya
madaktari kugundua kulikuwepo na hitilafu wazazi
hao wa Gammy walimshauri aavye mimba hiyo
lakini akkataa kwani haiambatani na dini yake ya
Kibudhaa.
Wazazi hao wa Gammy wamejitetea wakisema
kuwa walimchukua mtoto mmoja baada ya
madaktari kutarajia kuwa Gammy angekuwa na
matatizo ya ugonjwa wa moyo na maambukizi ya
mapafu.
Baba ya mapacha hao wawili aliwatembelea wote
wakiwa hospitalini punde baada ya kuzaliwa lakini
haijulikani kwanini alimtelekeza Gammy.
Mama huyo ambaye tayari yuko na wanawe wawili
sasa anasema hatamtupa Gammy bali atamlea
kama mwanawe.
Matukio hayo yamepelekea watu kote nchini
Australia wanakotoka wazazi wake kufoka
wakiwalaumu kwa kumnyima haki zake Gammy .
Aidha wengi wanakashifu matukio hayo wakidai
kuwa huo ni ukoloni mamboleo kwa watu wenye
hela lakini wanamatatizo ya kuwapata watoto wao
wenyewe wanasafiri kuelekea nchi za mbali na
kukodisha wanawake maskini kwa niya ya kujitoa
mzigo wa ukosefu wa watoto.
Mtoto aliyezaliwa na akili taahira kwa mama wa
kupanga .
Lakini wakipata watoto hao wanakasoro fulani
wanatoroka na kuwaachia wale wazazi maskini na
mzigo wa kuwalelea watoto wao.
Waziri mkuu wa Australia Tony Abbott na waziri wa
maswala ya uhamiaji nchini humo Scott Morrison
wamehuzunishwa na tukio hilo wakisema ni la
kushtua sana.
Wazazi wa Gammy wamenukuliwa katika mjadala
na runing moja ya Channel 9 wakisema kuwa
wanamtoto mwenye umri wa miezi 6 lakini hawana
mtoto mwengine na kukanusha habari kuwa
walimtelekeza ndugu ya mtoto wao wa kike.
Wazazi hao wanaoishi mjini Perth, vilevile
wameiambia runinga ya taifa kuwa hawajui
analosema bi Chanbhua .
Chanbua aliiambia jarida la Fairfax Media kuwa
babake Gammy anaumri wa miaka Hamsini hivi na
kuwa aliwahi kuja hospitalini na alionekana kumjali
sana msichana wake na kumpuuza kabisa Gammy
licha ya kuwa alikuwa hapo kitandani.
''Alikataa hata kumtizama usoni mwanaye''
Mtoto aliyezaliwa na akili taahira kwa mama wa
kupanga .
''sasa nitafanya nini ilinipate kumlea ?
Labda itanibidi niwashtaki mahakamani ilinipate hela
za kuwatunzia mtoto wao ''.
Waziri wa uhamiaji hata hivyo amesema kuwa
serikali ya Australia ikishirikiana na ile ya Thailand
zinashirikiana kutafuta suluhu ya mkasa huo .
Bwana Morris alisema kuwa mtoto Gammy ni raiya
wa Australia na kuwa anastahili kupata msaada wa
kimatibabu kutoka kwa serikali ya Australia.
Ni haramu kumlipa mtu iliakubebee mimba nchini
Australia kwa hivyo wazazi ambao hawana uwezo
wa kupata mtoto hukimbilia mataifa ya nje na
kufanikisha azimio la kuwa wazazi.
Tayari wasamaria wema wamechangisha dola laki
mbili kumsaidia mama huyo kumlea mtoto Gammy.

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog