Skip to main content

Mshindi wa Miss world 2014 huyu hapa!!

Miss South Africa Rolene Strauss ameibuka
mrembo wa dunia wa mashindano ya Miss World
2014, akiwashinda zaidi ya warembo 120 katika
shindano lililofanyika jijini London, Uingereza.
Mshindi huyo wa shindano la Miss World 2014
alivikwa taji la urembo na mshindi wa Miss World
2013, Megan Young kutoka Ufilipino na
kushangiliwa na mshindi wa pili na wa tatu, ambao
ni Miss Hungary Edina Kulcsár na Miss Marekani
Elizabeth Safrit. Kwa mujibu wa ukurasa rasmi wa
mtandao wa Internet, mshindi huyo mwenye umri
wa miaka 22 ni mwanafunzi wa mwaka wa nne wa
shahada ya udaktari na anafurahia kucheza
michezo ya golf, netboli na kuendesha baiskeli na
kujisomea vitabu vya burudani na elimu.
Washindi wa tano wa mwanzo katika mashindano
ya urembo ya mwaka huu walikuwa kutoka
Uingereza, Marekani, Hungary, Australia na Afrika
Kusini.
Shindano la Miss World 2014 pia lilikuwa na
mshindano tanzu na mataji mengi, ambayo
yalifanyika kuelekea siku ya fainali kuu.
Kwa mara ya kwanza, washindani watano
walitangazwa kuwa Warembo wa Miss World 2014
wenye Lengo: Washindi hao ni Miss India, Miss
Kenya, Miss Brazil, Miss Indonesia and Miss
Guyana.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...