Skip to main content

Ali Kiba kayajibu matano, ishu ya beef, ubalozi wake, Tuzo sita, yeye na Diamond..

CFM II
Staa wa hits za ‘Cheketua na ‘Mwana’ ambazo zilimrudisha kwa nguvu kwenye muziki TZ, Ali Kiba alikuwa kwenye show ya XXL leo July 09 2015, kuna vitu vingi vinaendelea, leo kapata nafasi kuyajibu haya matano.
CFM
Ali Kiba na B12 kwenye XXL leo mchana.
Hivi ndio alivyoupata mchongo wa kuwa Balozi wa Kampeni ya WildAid >>> “Wanaangalia mtu ambaye anaeleweka, anayeweza kuwaambia watu wakaelewa jinsi ya kuzuia ujangili.. Lupita ni mfano, tayari amekuwa staa mkubwa sana watu wengi wanamuangalia
Ali Kiba
Ali Kiba akisalimiana na Lupita Nyong’o
Haya ndio majibu yake kuhusu sababu za kuamua kufanya daladala tour >>> “Nina imani kuna wanaonipenda na hawajawahi kuniona.. walipiga kura Tuzo za Watu, KTMA.. nilianzia Mnazi Mmoja mpaka Mtoni Mtongani, tukaenda Temeke, tukaja Ilala, Magomeni, Ubungo na Manzese mpaka Makumbusho ”
Maswali yalioulizwa zaidi na watu ndani ya daladala yalihusu nini? >>> “Iliulizwa kama nina beef na Diamond, pongezi za tuzo.. Watu walifurahishwa na tour yangu, hawakutegemea
Screen-Shot-2015-06-24-at-3.02.57-PM (1)
Ali Kiba kwenye Daladala Tour
Alitarajia kupata Tuzo zote sita KTMA 2015? >>> “Yeah… nilitarajia itakuwa hivyo, nafanya kazi nzuri na kutegemea watu watafurahia.. Naona nastahili Tuzo zote
Ni kweli hamsapoti Diamond kwenye MTV? >>> “Nilipotaka kutoa video yangu wasanii wengi niliwatumia picha walisapoti na wengine hawakunisapoti.. Mimi ni balozi ninayewakilisha Tanzania, ni kubwa sana na mimi nipo watu wanachukulia poa kwanini?“>>> Ali Kiba.
KIBA
Mimi sijalipiza kisasi, wengi wananitumia kazi zao nawasapoti.. Kwa ujumla Tanzania kuna tabia ya kutopeana support, lazima tukae pamoja watu wote angalau tuwe na semina tuwe Wazalendo… Mengi tumeyaona, Marehemu Kanumba alikosea kidogo kwenye BBA watu wakatafuta sehemu ndogo aliyokosea wakaandika”>>> Ali Kiba.
Sauti ya Ali Kiba iko haoa akijibu maswali yote kwenye XXL @CloudsFM

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...