Skip to main content

Black Ryno na albamu mpya, Nay Feat.Diamond imebuma? na Producer DX anamkubali nani?.

miccccccc
Black Ryno amesema baada ya kumaliza masters yake MZUMBE sasa akili yake imekua na ataachia albamu yake muda si mrefu kwani sasa anajua nini anafanya ili kazi zake ziweze kuuzika na kumpatia faida zaidi…jamaa pia kasema atakua anauza kazi zake kupitia mitandao ya kijamii na kwenye Supermarkets kubwa ili zimfikie kila mmoja tofauti na zamani.
ryn
Black Ryno
Kingine kilichosikika leo kwenye 255 ni kumhusu Nay wa Mitego ambaye amefunguka na kusema hakuwa amepanga kutoa single yake ya ‘Sina muda’ bali mashabiki ndio waliomlazimisha kwa sababu bado ‘Mapenzi au Pesa’ ilikua ikifanya vizuri.
nay
Nay wa Mitego
Amesema video zote zitatoka wakati wowote kuanza sasa.
DX kutoka Noise Maker kutoka Arusha amesema anamuelewa sana mtayarishaji chipukizi Mesen Selector kutokana na uwezo wake mkubwa..amekua akitayarisha nyimbo wakati huo huo ni mwanamuziki….ana ubunifu mkubwa kwenye kazi yake kwa sababu yuko sehemu tofautitofauti

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...