Skip to main content

HIZI NDIZO SABABU ZA MSANII MB Dog, KUKAA KIMYAA MUDA WOTEE

.
.
Mkali wa ‘Latifa’, Si uliniambia’ Mbwana Mohamed aka MB Dog time hii amefunguka na kuelezea sababu zilizopelekea kuwa kimya kwa muda mrefu kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva
 alisema…’Kwanza nilikuwa nimetoa kwenye kampuni ambayo ilikuwa ikinisaidia halafu then nikawa mwenyewe so baada ya kuona mambo yamekuwa mazito nikatoa kidogo nikaenda kukaa sana Ujerumani kama miaka miwili nikaja nikarudi Uingereza hapo katikati zile safari baada ya kuona mambo yamekuwa mazito ndio sababu ya kukuwa kimya.
.
.
Sijawahi kupiga ngoma ikawa imeenda tofauti kila niliyowahi kuupiga ulikuwa unaenda na damu zao halafu ilikuwa zinafanana na wao kwa hiyo ngoma zangu zote zilikuwa na manufaa na zilikuwa na faida kwasbabu ndio zimenifanya mpaka leo nipo nakutana na watu tofauti wananiamia na heshima kubwa kupitia hizo ngoma
.
.
Mimi niko chini ya Qs Mhonda J Entertainment kampuni kubwa sana ambayo kwasasa ndio inasimamia kazi zangu kiufupi niwahabarishe mashabiki wangu kuna kazi ambazo zinashaanza kufanyika kama kuna video nimefanya Afrika Kusini chini ya Qs Mhonda J Entrtainment, muziki wa sasa hivi umetanuka kuna social Network ukiangalia zamani kulikuwa hakuna social network sisi zamani ma Dj walikuwa wanakuja ma studio kuangalia ngoma zetu..’alisema.
Unaweza uka bonyeza play kumsikiliza MB Dog akifunguka kuhusu ukimya wake

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...