Skip to main content

Kikosi cha Azam FC kimethibitisha kuwapokea hawa watatu toka nje ya TZ..

Lukong
Golikipa Nelson Lukong Bongaman, jamaa anatokea Congo ila ni Raia wa Cameroon.
Ligi Kuu TZ bara inatarajiwa kuanza August 2015, Vikosi ya Timu za soka vimeendelea kujipanga na kuimarisha Vikosi vyao ili mambo yaende sawa msimu huu watoke na ushindi, Azam FC wamethibitisha kwamba safari hawako tayari kuukosa pia.
Azam FC jana ilithibitisha kuanza kuwapokea  wachezaji wa kigeni wanaotarajia kujiunga nao na kufanya majaribio na klabu hiyo, kwenye taarifa ya Klabu hiyo imeonesha jana usiku walitarajia kumpokea golikipa ambaye ni raia wa Cameroon, Nelson Lukong Bongaman ambaye alikuwa anachezea timu za Congo DRC.
DSC_0699-af709
Jean Mugiraneza Babtiste
Klabu hiyo ilitarajia pia kumpokea staa mwingine mida ya saa 2 asubuhi ambae ni raia wa Uingereza, Ryan Burge.
Nyota mwingine waliyemtaja kuwa watampokea ni mchezaji kutoka Klabu ya APR ya Rwanda, Jean Mugiraneza Babtiste.
azam+bus
Kikosi cha Azam FC kimeelekea Tanga kwa ajili ya maandalizi ya kukipiga na Klabu yaAfrican Sport kwenye mchezo wao wa kirafiki siku ya Jumamosi katika Uwanja wa CCM Mkwakwani na Jumapili watakuwa na mchezo na Klabu ya Coast Union.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...