Skip to main content

Sikiliza jinsi Diamond Platnumz alivyoguswa na hotuba ya Rais Kikwete

ddd
.
Baada  ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete kulianga rasmi bunge mjini Dodoma msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ameguswa na hotuba hiyo.
Diamond Platnumz ameamplify leo kwenye AMPLIFAYA na kusema’Kipindi ambacho nimebahatika kumuona Mheshimiwa madaraka na vitu ambacho amevifanya kiukweli ni vitu ambavyo vinagusa sana hususa katika tasnia ya kwetu ya muziki unajua hatujawahi kupata mheshimiwa ambaye akawa anatizama suala la muziki na kulithamini kama la kwake kabisa sio tu suala la muziki na vitu vingi sana mimi sio mtu wa kusikiliza masuala ya siasa wala kuangalia masuala ya kisiasa‘ – Diamond Platnumz
.
.
‘Leo kwa Mara ya kwanza nilikuwa naendesha gari huku nasikiliza vitu mwanzo mpaka mwisho kuna vitu ambacho alikuwa anazungumza vinagusa moyoni kabisa kuna vitu alikuwa anaongea vya kuchekesha lakini kuna time nilikuwa nafikiri Je rais atakaekuja atakuaje atakuwa kweli anakumbuka jamii yake ukizungumzia kama wasanii na watu wengine kama alivyokuwa anafanya yeye kwasababu sio kila mtu anachukulia suala la sanaa kama serious mwingine anaweza akaona vijana hawa wanaimba imba tu lakini wengine ndio ajira yetu tunafamilia wazazi wetu ndugu marafiki na tumeajiriana wenye wenye’ – Diamond Platnumz
deee
.
‘Nikajikuta ghafla daah Je Rais atakayekuja ikiwa Je anapenda uvuvi akiwa anapenda vitu vingine labda muziki akaudharua itabidi tukashika nyavu tukavue na suala la muziki linaishia hapo hapo hakuna masuala ya Channel O au MTV nikajikuta nawaza nikajikuta naandika kutoka moyoni hakika katutoa kule anatuacha hapa ambako pako juu zaidi kama kauli yake mwenye alivyosema inagusa moyoni yaani unatamani kama inawezekana wala apewa muhula mwingine aendele tena lakini ndio haiwezekani kisheria lakini ndo hivyo namshukuru sana nampongeza kwa kipindi ambacho akiwa akilihutubia taifa la Tanzania’ – Diamond Platnumz
Unaweza uka bonyeza play kumsikiliza Diamond Platnumz akizungumza kuhusu hotuba ya Rais

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...