Kwenye headlines kubwa Magazetini kuna hizi stori ambazo nimekusogezea baada ya kuchambuliwa redioni June 02 2015.
Makada wa CCM wameendelea kurudisha fomu za Urais na leo ndio siku ya mwisho,Lowassa amesema amechoshwa na wanaomwita Fisadi.. kingine ni kuhusu ishu ya ushirikina Wilaya ya Mwibala, mtu mmoja ameuawa akituhumiwa kuwafanyia ushirikina Walimu.
Stori nyingine inahusu utafiti uliofanywa TZ kuhusu Wagombea Urais umepokelewa kwa hisia tofauti, Bajeti 2015/16 yadaiwa kuwanyonya damu Watz… Tume ya Taifa ya Uchaguzi TZ imesema Uchaguzi Mkuu uko palepale.
Serikali imetangaza kwa wanaotoa taarifa za uongo Kikosi cha Zimamoto kukiona! NECTA wamekuja na mfumo wa matokeo ya Mitihani kwa njia ya simu.
Washitakiwa wa mauaji ya albino wamehukumiwa hukumu ya kifo Mbeya.. stori zote ninazo kwenye sauti niliyorekodi #PowerBreakfast hapa.
Comments
Post a Comment