Skip to main content

Hizi ndio rekodi 5 za soka ambazo hazijawahi kuvunjwa katika historia ya soka

Tukiwa tunaelekea kuuaga mwaka 2015 kuna mengi yametokea katika maisha ya soka, moja kati ya vitu vilivyotokea katika soka mwaka 2015 tumeshuhudia Jamie Vardy wa klabu ya Leicester City  akivunja rekodi ya mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Man United Ruud van Nistelrooy ya kufunga magoli 10 mfululizo.
Rekodi ambayo ilidumu kwa miaka 12 toka Van Nistelrooy aiweke. December 5 naomba nikusogezee rekodi za soka ambazo hazijawahi kuvunjwa toka zimewekwa, Stori kutoka sportskeeda.com hadi kufikia November 16 2014 ndio zilikuwa rekodi ambazo hazijawahi kuvunjwa katika soka.
1- Idadi ya mashabiki wengi wa soka kuingia uwanjani: Hii ni rekodi iliwekwa katika mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia mwaka 1950 katika mchezo kati ya Brazil dhidi yaUruguay katika dimba la Maracanazo, mchezo ambao unatajwa kuingiza idadi rasmi ya watu 173,850 ila inatajwa kuwa idadi ilifikia hadi watu 210000 pamoja na wasio kuwa na tiketi.
World Cup Finals, 1950, Brazil, Rio De Janeiro, Aerial view of the gigantic Maracana Stadium still under construction for the 1950 World Cup finals  (Photo by Popperfoto/Getty Images)
2- Mechi iliyowahi kufungwa magoli mengi zaidi: Rekodi hii iliwekwa mwaka October 31 2002 katika mchezo ngazi ya vilabu kati ya AS Adema dhidi ya SO l’Emyrne uliyochezwaMadagascar. Mchezo ulimalizika kwa AS Adema kuibuka na ushindi wa goli 149 – 0 magoli ambay0 SO l’Emyrne walijifunga kwa makusudi baada ya mchezo uliyopita kutoridhishwa na maamuzi ya refa na kuwafanya wakose matumaini ya kutwaa Ubingwa. Baada ya mechi kocha wa SO l’Emyrne alifungiwa miaka mitatu na wachezaji wanne walifungiwa hadi mwisho wa msimu.
149-0-1416147447
3- Ali Daei kutokea Iran amewahi kucheza katika vilabu vya Bayern na Hertha BSC na timu ya taifa ya Iran, anashika rekodi ya kufunga idadi kubwa ya magoli katika mechi za kimataifa, amecheza jumla ya mechi 149 akiwa na Iran na kufunga magoli 109 katika miaka 13 yake ya kucheza soka.
4-1416145061
4- Licha ya kuwa Pele ndio anatajwa kuwa mchezaji aliyecheza mechi nyingi 1375 kwa kila mechi, ila idadi ya mechi zake rasmi za mashindano zinatajwa kuwa 1115, golikipa Rogerio Ceni ndio mchezaji ambaye anatajwa kuwa amecheza mechi nyingi zaidi rasmi kuliko mchezaji yoyote, amecheza jumla ya mechi 1141. Ceni alikuwa akiichezea Sao Polo ya Brazil toka mwaka 1992. Rekodi ambayo inatajwa kaiweka akiwa na klabu moja na jumla ya mechi zake chache alizocheza timu ya taifa.
8-1416145035 (1)
5- Klabu ya Real Madrid ya Hispania ndio inatajwa kuwa na rekodi ya kuchukua Kombe la klabu Bingwa Ulaya mara tano mfululizo, imewahi kufanya hivyo mwaka 1955 na 1960. Licha ya kuwa Barcelona ya Guardiola na FC Bayern Munich ya Heynckes kutajwa kuwa bora haijawahi kutwaa taji hilo hata mara mbili mfululizo.

Comments

Popular posts from this blog

ANGALIA VIDEO YA MWANAMKE AKIZINI NA CHUPA YA SODA YANASWA

 Katika  hali  ya  kushangaza  na  kuashiria  miisho  ya  dunia, binti  mmoja  amenaswa  " live " akifanya  mapenzi  na  CHUPA YA SODA. Katika  video  hiyo, binti  huyo  anaonekana  akitoa  ushirikiano  wa  kutosha  mithili  ya .............

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog