Skip to main content

kama ukupata kufahamu baraza jipya la mawazirii.......HILI HAPA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI WA WIZARA ZOTE 18 NA MAJINA YAO !!!!!!.


 

Habari wakuu

Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure.

WIZARA
Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo

Mazingira: Makamba, naibu Makamba

Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma

Ulemavu: Mavunde

Kilimo, mifugo na uvuvi: Mwigulu Lameck Nchemba, Nashe naibu

Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Ngonyani.

Fedha na mipango: Waziri bado, naibu Kijachi

Nishati na madini: Waziri ni Muhongo, Naibu

Katiba na sheria: Waziri Mwakyembe

Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Augustino Mahiga nmemteua mbunge na waziri, Naibu Dr Suzan

Ulinzi na kujenga taifa: Waaziri Dr. Hussein Mwinyi

Ardhi na maendeleo ya makazi: Waziri ni Wiliam Lukuvi, Naibu Angelina Mabula

Utalii: Waziri bado

Viwanda na biashara: Waziri Charles Mwijage

Sayansi na ufundi: Naibu ni Stella Manyanya

Afya na Ustawi wa jamii: Ummy Mwalimu, Naibu ni Kingwangala

Habari: Nape Nnauye

Wizara ya maji na umwagiliaji: Makame Mbarawa, Naibu ni Kamwene

Swali: Tatizo ni nini hasa kwa wizara ambazo hujateua?

Magufuli: Nilitegemea ungeniuliza kwanini sikuteua siko niliyoteuliwa, subira yavuta heri, hawa wameanza na wengine watafata

Umesema kukutakuwa na semina elekezi, utafanya nini waweze kwenda na kasi ya hapa kazi?

Niliyowachagua wote wana CCM na walinadi ya sera hapa kazi, spidi ni hiyo hiyo ndio maana hatutatumia semina elekezi ya bilioni mbili.

Manyerere Jackton: Kwa kupunguza baraza la mawaziri, serikali itakuwa imepunguza kiasi gani?

Magufuli: Wewe ndie utapiga hesabu, utanisaidia katika kupunguza baraza tutakuwa tumesevu kiasi gani na zile tulizosevu za gharama elekezi, kuchelewa kutangaza baraza na wale ambao sijawataja na bahati nzuri nyie waandishi mnaweza kupiga hesabu vizuri. Zipo nchi zina wizara 44, manaibu na mawaziri. Tutakapomaliza tutakuwa na baraza la watu 34.

Wasihangaike kufanya sherehe kwa sababu ni kazi ngumu, wakawafanyie kazi watanzania bila kuwabagua, mawaziri hili la wizara 15 tumejiridhisha linaweza kufanya kazi tunayowatarajia kuifanya. Ngoja tukimaliza uteuzi wote.

Uhai Production: Siku saba zimetimia, wafanyabiashara wamesharesha zile hela?

Magufuli: Swali hilo jibu analo kamishna wa kodi TRA

Swali: Katika baraza, kuna mawaziri wa baraza lililopita, ulizangatia nini wakati wa uteuzi?

Jibu: Kafanye hesabu vizuri, waliorudi ni saba?

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...