Skip to main content

silkiliza Sentensi nne za DC Paul Makonda alivyomalizana na mgomo kiwanda cha URAFIKI Dar

Hii stori nilikuzogezea muda mfupi uliopita kuhusu ishu ya mgomo wa wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha URAFIKI kilichopo eneo la Shekilango Dar es Salaam.
.
.
Updates za taarifa iliyonifikia muda mfupi uliopita ni kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda ameagiza shughuli zote za kiwanda hicho zisimame kwa sasa mpaka mgogoro wa kimaslahi kati ya wafanyakazi na wamiliki wa kiwanda hicho utakapotatuliwa.
Hapa nanukuu maneno ya DC Paul Makonda mbele ya wafanyakazi hao >>> “Kwanza wasimamishe shughuli za uzalishaj, hatuwezi kuzalisha kwenye mazingira ambayo hayana amani… ninaenda kumtafuta Katibu Mkuu wa Wizara ili achukue hatua dhidi ya watawala wasio na majibu ya kero za wananchi“-
.
.
Sauti ya stori hiyo hii hapa kutoka kwenye habari ya TBC 1


Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...