Skip to main content

ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa




Baadhi ya mawakili wapya walioapishwa leo wakiwa sehemu yao iliyoandaliwa.

Mmoja wa mawakili akitoa nasaha kwa mawakili hao.


ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa kuanza kazi ya kuhudumu kama watetezi wa kisheria katika mahakama mbalimbali hapa nchini huku
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Juma akitia neno juu ya kuhakikisha wanatumia taaluma yao kusaidia jamii na kujiendeleza zaidi ili kufahamu sheria mpya zinazosimamia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na jumuiya ya Afrika Mashariki.

Prof Ibrahim ameyasema hayo leo wakati akiwaapisha mawakili hao wapya wa mahakama kuu Jijini Dar es salaam, ambapo amewataka mawakili hao kujiepusha na vitendo vya rushwa na pia kufanya kazi zao kwa weledi ili kulinda heshima ya taaluma hiyo.

Baadhi ya mawakili wahitimu, Theresia Masha na Frank Kimaro wameelezea namna ambavyo watatumia taaluma yao katika kuwahudumia wananchi na hasa wenye matatizo ya kisheria na kwamba watahakikisha wanatenda haki katika majukumu yao ya kikazi.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...